FAHAMU JINSI YA KUTENGENEZA APP FOR FREE


Karibu kwenye website yako pendwa ya Techplatform kwa ajili ya kuyisoma TECHNOLOGY

 

Karibu tena jamaniina leo nakuleteya kitu ambacho ulikuwa unatamani ukifanye alafu unashiindwa..  kuna wakati unahitaji sana kutengeneza Android Application lakini haujui kuhusu lugha inayotumika kutengeneza hizo Android Application yaani JAVA au Python na jinsi ya kutengeneza mpaka ikamilike application.



Hii ni website ambayo itakurahisishia kutengeneza Android application hata kama hauna ujuzi wowote wa lugha.

Hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza Android application bure bila ya kuwa na ujuzi wowote

1. Ingia kwenye Website ya App.Yet. Bonyeza Get Started


2. Bonyeza Sign up today


3. Jaza taarifa kama vile inavyotaka. Kisha weka tiki kwenye i'm not a robot. Bonyeza Sign Up


4. Jaza taarifa kama inavyoonekana kwenye picha. Bonyeza i'm not a robot kisha create App


5. Weka link ya App yako


6. Bonyeza Build my app na Application itakuwa tayari na itatumwa kwenye email yako


Post a Comment

Previous Post Next Post