Leo ntaeleleza kwamba ni jinsi gani mtu unaweza pata call za mtu wako wa karibu bila kushika cm yake ok tuanze kwa pamoja hii itakusiidia uweze pata call zake ata akiwa mbali na wewe kwa bila kushika cm yake lakini kabla sijaendelea kumbuka hivi
NI KOSA KISHERIA KUFUATILIA MAZUNGUMZO YA MTU BILA RUHUSA YAKE:
Ok nadhani umenielewa njia hii nafundisha kwalengo la kusaidia wazazi katika malezi ya wanao maana kwasasa kadli tecnologia inavyo kua sasa cm za mkononi zimekua nyingi sana mbaka watoto wengi chini ya miaka 18 wamekua wakitumia simu kwaajili ya mawasiliano na watu mbalimbali ok bila kupoteza muda nianze moja kwa moja utachukua simu yako na kubonyeza code hizi bonyeza
**62* utaweka namba ya huyo mtu kisha # alafu Ok
Njia hii utapata call peke yake hauta weza sikiliza mazungumzo wala soma sms njia nzuri ninayo shauri uitumie tumia app hii inaitwa MOBILE TRACK FREE
app hii itakusaidi kupata voice call record sms whatsapp chating picha video vitu vyote vinavyo fanyika kwenye cm yake facebook na taarifa zote utapewa hii app itahack cm yake na kukuletea wewe taarifa zote ok najua unajiuliza sana jee ntazipataje taarifa hizo? Iko ivi hiyo app inahitajika uidonload kwenye cm unayotaka kupata taarifa zake ukisha i donload itakuletea sehemu uweke email yako na password yako ukisha weka hiyo app itapotea haita onekana kwenye cm ila kuna code utapewa za kubonyeza kama ukitaka kuiona tena wewe baada ya hapo utakua umesha maliza ihack cm yake.
Kisha utampa simu yake ukisha mpa cm yake sasa wewe ukitaka angalia mazungumzo yake au sms zake call zake au anaitumiaje cm utaingia google kupitia cm yako na kuandika MOBILE TRACK FREE LOG IN Kisha utaweka email na password uliyo itumia wakati unaiseti ile app kwenye cm yake kisha zitafungunga na kwa muonekano huu apo chini
Sasa hapo utachagua uangalie kitu gani kama ni sms utabonyeza kwenye sms kama ni call utabonyeza kwenye call na kama ni facebook utabonyeza na vinginevyo vingi vipo hapo ukitaka ku donload app hiyo kama utakua na shida yoyote comment hapo chini utasaidiwa