[1] Weka CD yako ya window kwenye computer yako kisha izime computer yako
[2]Washa computer yako hapa unatakiwa kuwa makini kabla haijawaka unatakiwa
kubonyeza f12 maana hapa unailazimisha computer yako isitishe mambo mengine
ishugulikena CD yako ya window. na baada ya hapo window setuo itaanza na screen yako itakuwa ya blue
3 Bonyeza ENTER ambayo iko kwenye keyboard yako
4 Bonyeza F8 kukubali Licensing Agreements ya Window XP
5 Basi utapata ujumbe unaosema REPAIR KAMA HUTAKI UNATAKA KU FORMAT
computer yako bonyeza ESC iliyoko kwenye keyboard yako
6 Unatakiwa kuweka PARTION au KUFUTA PARTION. BONYEZA D kama unataka kufuta partion fulani au bonyeza C kama unataka kuweka partion mpya
7 Weka kiasi cha MEGABYTES unayotaka kisha bonyeza ENTER au kamahutaki kufanya
partion yoyote basi bonyeza ENTER moja kwa moja
[8] Chagua ni njia gani unataka ku format hard disck yako au partion yako ila NTFS NI NNZURI INAFORMAT KWA HARAKA ZAIDI
[9] Baaada ya hatua hii kumaliza basi fuata maelezo yatakayo tokea mwishoni ili kuinstall window mpya.