Mwaka huu ni mwanzo wa programu ya whatsapp kuacha kufanya kazi katika baadhi ya simu za zamani.
Kwa mujibu wa kampuni ya Whatsapp, ifuatayo ndo orodha ya simu ambazo hazitoweza kuedelea kuwa na uwezo wa kufanya kazi na program ya whatsapp kuanzia tarehe 1 November 2021.
Simu za Apple
Simu zote za Iphone zinazotumia mfumo wa iOS 9, kwa hivyo kama simu yako haitakuwa na uwezo wa kupokea mfumo wa iOS 10, basi haitokuwa na uwezo wa kutumia Whatsapp.Kwa sasa simu hii ni iPhone 4S ambayo ilizinduliwa mwaka 2011.
Simu nyingine kama iPhone SE (2016), iPhone 6S, na 6S Plus ambazo zilitoka na mfumo wa iOS 9 zinaweza kupokea mfumo mpya wa iOS 15.
Simu za Samsung
Simu ambazo hazitokuwa na uwezo wa kuendelea kutumia whatsapp ni:
Samsung Galaxy Trend Lite
Galaxy Trend II
Galaxy SII
Galaxy S3 mini
Galaxy Xcover 2
Galaxy Core
Galaxy Ace 2
Simu za Sony
Sony Xperia Miro
Sony Xoeria Neo L
Xperia Arc S
Simu za Huawei
Huawei Ascend G740
Ascend Mate
Ascend D1 Quad XL
Ascend P1 S
Ascend D2
Simu za ZTE
ZTE Grand S Flex
ZTE V956
Grand X Quad V987
Grand Memo
Simu za LG
LG Lucid 2
Optimus F7
Optimus F5
Optimus L3 II Dual
Optimus L5
Optimus L5 II
Optimus L5 Dual
Optimus L3 II
Optimus L7
Optimus L7 II Dual
Optimus L7 II
Optimus F6
Enact
Optimus L4 II Dual
Optimus F3
Optimus L4 II
Optimus L2 II
Optimus Nitro HD
4X HD
Optimus F3Q
Simu Nyingine
Alcatel One Touch Evo 7
Archos 53 Platinum
HTC Desire 500
Lenovo A820
Wiko Cink Five
Wiko Darkknight
Vilevile inasemekana simu za android ambazo zitakuwa na mfumo wa Android 4 kushuka chini zitashindwa ku-support program ya Whatsapp kuanzia mwaka 2022.
Pia ripoti hiyo inasema kuwa simu zote iPhone zinazotumia mfumo wa iOS 9 pia hazitakuwa na uwezo wa ku-support program hiyo ifikapo February mwaka 2022.
Unaweza Kufanya Nini Baada ya November 1?
Kama simu yako iko kwenye orodha hii na umezoea kutumia Whatsapp, pakia back-up ya meseji zako kwa Google Drive kwa wenye Android au icloud kama simu yako ni ya mfumo wa iOS kabla ya tarehe hiyo kufika. Kisha utaweza kudownload meseji zako utakapopata simu mpya