Jinsi Ya Kutumia TikTok Kuandaa Wallpaper Kwa Ajili Ya iPhone
- Tafuta na kasha fungua App ya TikTok.
- Tafuta (search) video yako unayoipenda ndani ya mtandao huo.
- Ingia katika video hiyo (Ambayo unataka kuiweka kama WallPaper).
- Katika video nenda katika sehemu ya ‘Share’.
- Ingia Katika ‘Live Photo’
- Subiri wakati video yako inajibadilisha kutoka video ya kawaida kwenda ‘Live Photos’
- Ingia katika App yako ya picha, Kisha katika library. Alafu ingia katika ‘Live Photo’kutokea TikTok.
- Ingia katika eneo la machaguo upande wa chini kabisa kushoto katika picha na kisha chagua‘Use as Wallpaper’ na kisha chagua ile unayoitaka kutumia kama ‘Wallpaper’.
- Mpaka hapo utakua umeshafanikisha hilo, nenda kaangalie ‘Wallpaper’ yako mpya sasa
Tags:
MAUJANJA