leo tena katika mafunzo uko na professor_sajid na leo tuangalie kuhusu ku download movie simu au computer kwenye website ya yts bure kabisa ni website bora na nzuri ya kudownload Movie kwenye Simu na Computer. Movie zote ni bure hakuna malipo yoyote ni wewe na bundle lako la internet. Hii njia hii inafanya kazi kwenye Computer na kwenye Simu. soma pia kuhusu
NJIA YA KURUDISHA DATA ZAKO ZILIZOPOTEA KATIKA MEMORY CARDS,FLASH , CAMERA
Hatua kwa hatua jinsi ya kudowload Movies1. Ingia kwenye website ya Yts kisha bonyeza kwenye YTS Movies. Unaweza kutafuta Movie uipendayo pia kwa kutumia Search Box na Movie yako itaonekana.
2. Bonyeza kwenye Movie unayotaka kuidownload. kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini. Bonyeza Download button
3. Chagua format unayotaka kisha bonyeza Downlod na Movie yako itaanza kujipakua. Movie zote ni HD
4. Download uTorrent apk au BitTorrent apk na install kwenye simu yako au kama unatumia Computer/PC download uTorrent exe kisha install kwenye computer yako.
5. Nenda kwenye file la uTorrent (file la movie) ulilolidownload. Bonyeza kwenye hilo file litakuletea Option ya kuchagua application ya kulifungulia, chagua uTorrent apk au BitTorrent apk. Na hapo litaanza kujipakua lenyewe. Kwenye Computer Double Click kwenye uTorrent file la movie yako. Utaona uTorrent imefunguka yenyewe. Bonyeza OK. Njia hii ni salama na unaweza kudownload movie zaidi ya 10 kwa wakati mmoja. Vile vile hata MB zako zikiisha utaweza kudownload hata kama imepita miaka 20 na file lako litaanza kudownload pale pale lilipoishia
Tags:
MAUJANJA